Subscribe
Watu wengi wanasema “AI haifanyi kazi vizuri” lakini ukweli ni kwamba swali lako ndilo tatizo.
Prompt Engineering ni sanaa ya kuielekeza AI kwa lugha sahihi ili ikupe majibu sahihi.
Ukijua jinsi ya kuuliza, AI inaweza kuwa mwalimu, mfanyakazi, mshauri na mbunifu wako.
Tutorial hii itakufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kuandika prompts zenye matokeo halisi, si majibu ya kubahatisha.
#AI #PromptEngineering #Teknolojia #ElimuYaDigital #AIKwaKilaMtu #ContentCreators #OnlineSkills #TechAfrica #Kujifunza #Ubunifu
Comments (1)
Sign in to comment