Subscribe
Jinsi ya kugeuza nyumba kuwa SMART kwa simu tu”
Watu wengi bado wanatumia remote na switch… wakati simu yao inaweza kufanya zaidi.”
“Hii inaitwa SmartThings. App moja, inadhibiti TV, taa, AC na vifaa vya smart… kwa simu yako.”
“Bonyeza mara moja, vifaa vinafanya kazi vyenyewe.
Hata ukiwa kazini au safarini.”
Smart home#tech #review Kiswahili
#smartphone #tutorial l
#app Android
#smartthings
#TechKijanja
Comments (0)
Sign in to comment