Subscribe
Kama unaogopa AI au unadhani ni ngumu, basi hii tutorial ni kwa ajili yako.
Hakuna coding, hakuna lugha ngumu.
Ni kuelewa tu namna ya kuuliza swali sahihi kwa wakati sahihi.
Ukishajua msingi huu, kila app ya AI itaanza kukuelewa zaidi.
#AIBasics #PromptEngineering #BeginnersGuide #TechForAll #DigitalLiteracy #AITraining #LearningJourney #TechMadeEasy #SwahiliTech #Elimu
Comments (0)
Sign in to comment