Ad

🕯😭TANZIA😭🕊: MBUNGE WA JIMBO LA ISIMANI,WILLIAM LUKUVI AFARIKI DUNIA

0 views 0 likes 0 saves Posted 1 week ago
Yonna E. Mgaya

Yonna E. Mgaya

0 subscribers
Subscribe
Like Save

🕯😭TANZIA😭🕊: MBUNGE WA JIMBO LA ISIMANI,WILLIAM LUKUVI AFARIKI DUNIA - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anasikitika kutangaza kifo cha Mheshimiwa William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, kilichotokea leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa moja asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, Jijini Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa mshtuko wa moyo.

Mheshimiwa Rais anatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, familia, wananchi wa Jimbo la Isimani, ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania wote kwa msiba huo.

Imetolewa na;
Balozi,Dkt. Moses M. Kušiluka,
KATIBU MKUU KIONGOZI,
Leo,Machi 25, 2026.

How Earning Works on Vidyfy
Understand how earning works on Vidyfy based on your account label and what changes when you become a VidyCreator.

Comments (0)

Sign in to comment
  • No comments yet.
×

💸 Tip

You need a free Vidyfy account to send tips and support .

Sign in to Continue Create a Free Account