Ad

MICHANO YA SIMON MLINDA KWENYE REMIX YA 🎶📺"I WISH YOU GOOD".🎶📺

0 views 0 likes 0 saves Posted 1 week ago
Yonna E. Mgaya

Yonna E. Mgaya

0 subscribers
Subscribe
Like Save

MICHANO YA SIMON MLINDA KWENYE REMIX YA 🎶📺"I WISH YOU GOOD".🎶📺 : Zikiwa zimepita wiki 2 tangu ilipotoka Video ya Wimbo wa Remix ya I wish You Good ya Mwimbaji wa Gospel nchini Tanzania 🇹🇿,Godfrey Steven ambao ndani yake zimesikika Sauti za Mastaa kadhaa wa Gospel akiwemo Asagwile,Japhet Zabron,Obby Alpha,Simon Mlinda pamoja na Mtoto Naomi James.

Kama ni Chachandu kwenye Chakula basi uwepo wa Michano ya Simon Mlinda kwenye Remix hiyo imeongeza radha ya Kipekee huku hadi Sasa Video hiyo ikifikisha 539k Views.
https://www.instagram.com/reel/DWQzsfijCVo/?igsh=MTh5MXBicW9naXcxeQ==

How Earning Works on Vidyfy
Understand how earning works on Vidyfy based on your account label and what changes when you become a VidyCreator.

Comments (0)

Sign in to comment
  • No comments yet.
×

💸 Tip

You need a free Vidyfy account to send tips and support .

Sign in to Continue Create a Free Account