Subscribe
šMABADILIKOš : IRENE ROBERT KUAGWA DAR - JUMANNE,MAZISHI JUMATANO - MWANZA : Mtumishi wa Mungu na Mwenyekiti wa CHAMUITA,Addo November ametoa ratiba Mpya ya kuuga Mwili wa Mpendwa Wetu na Mwimbaji wa Gospel,Marehemu Irene Robert ambaye alifariki Ijumaa,March 19,2026 wakati akiendelea na Matibabu Hospital ya Mwananyamala - Jijini Dar es Salaam.
Kwa Mujibu wa Ratiba hiyo Mwili wa Irene Robert unatarajiwa kuagwa Jijini Dar es Salaam siku ya Jumanne,March 24,2026 huku Mazishi yakitarajiwa kufanyika huko Sengerema mkoani Mwanza,Siku ya Jumatano,March 25,2026.
Comments (0)
Sign in to comment