Ad

Kashindi Ameoa! 👰🏾‍♀️🤵🏾 Maandalizi ya Kumpokea Mke Wake Yameanza Leo!

1 views 1 likes 0 saves Posted 1 week ago
ONGETRAVEL

ONGETRAVEL

2 subscribers
Subscribe
Like Save

Leo nipo kwenye sherehe ya Kashindi 👰🏾‍♀️🤵🏾
Kashindi ameoa mke wake na leo ndio siku ya kumpokea rasmi!

Haya ni maandalizi yanavyoendelea – watu tayari wameanza kupika chakula na kuandaa mapokezi ya heshima kwa mke wake anayetarajiwa kufika leo.

Lakini hii ni sehemu tu ya tukio…

🔥 FULL VIDEO ipo kwenye YouTube channel yangu – Onge Travel
Nenda YouTube sasa uangalie tukio zima na usikose chochote!

Link ipo kwenye comment ya kwanza 👇🏾

#OngeTravel #Harusi #ShereheZaKiasili #AfricanWedding #Kashindi

How Earning Works on Vidyfy
Understand how earning works on Vidyfy based on your account label and what changes when you become a VidyCreator.

Comments (0)

Sign in to comment
  • No comments yet.
×

💸 Tip

You need a free Vidyfy account to send tips and support .

Sign in to Continue Create a Free Account