Subscribe
Inamhusu askari mwanamke wa Marekani, aliyeko Mali, Afrika, anayegundua siri nzito sana: kampuni kubwa ya Kimarekani inafanya biashara chafu kwa siri, ikishirikiana na makundi ya kigaidi duniani.
Anapojaribu kufichua ukweli huo
➡️ Makundi ya kigaidi yanamuwinda
➡️ Serikali ya Marekani inamtangaza kuwa amekufa
➡️ Familia yake inafanya mazishi, bila kujua kuwa yuko hai
Lakini bado haitoshi…
Badala ya kumsaidia, Marekani inamtafuta kimyakimya ili auawe, ili siri ibaki siri 🤐🔥
Akiwa peke yake katikati ya Afrika hatari, bila msaada, bila nchi, bila hata jina
bidada anateseka kupita kiasi, akipigania kuishi na kuufikisha ukweli kwa dunia.
💥 Je, ataishi?
💥 Je, ataweza kufichua siri hiyo?
Episode 13fiml
Ommy DJ
TUKUTANE INBOX 📥
https://wa.me/255693845734
Comments (0)
Sign in to comment