Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa imeuza au ina mpango wa kuuza akiba ya dhahabu ya taifa. BoT imesisitiza kuwa dhahabu hiyo ni sehemu ya hifadhi ya taifa kwa ajili ya kulinda uchumi na thamani ya shilingi ya Tanzania.
Comments (0)
Sign in to comment