Ad

MACHAWA KUKIONA CHA MOTO..MBUNGE ASHAULI WASHUGULIKIWE..

18 views 1 likes 0 saves Posted 6 days ago
MwanzaDigital

MwanzaDigital

0 subscribers
Subscribe
Like Save

Waziri wa Mambo ya Ndani wa zamani, Kangi Lugola, ameitaka Serikali kuchukua hatua madhubuti dhidi ya tatizo la machawa linaloendelea kuwasumbua wananchi katika maeneo mbalimbali ya nchi. Akizungumza Bungeni, Lugola amesema machawa wamekuwa chanzo cha uhalifu, uporaji na usumbufu kwa raia, hivyo ni muhimu vyombo vya dola na Serikali kwa ujumla kushughulikia suala hilo kwa haraka na kwa nguvu ya sheria.
Ameeleza kuwa usalama wa raia ni kipaumbele cha Taifa,

How Earning Works on Vidyfy
Understand how earning works on Vidyfy based on your account label and what changes when you become a VidyCreator.

Comments (0)

Sign in to comment
  • No comments yet.
×

💸 Tip

You need a free Vidyfy account to send tips and support .

Sign in to Continue Create a Free Account